20 Feb 2026, 06:27 UTC≈1,670 views14 reactionsread 25 August 2026 Aina 2 Za Mawasiliano Wakati Wa Mgogoro Katika Mahusiano — Ni Aina Ipi Mnaitumia Mara Kwa Mara?
Mahusiano mengi hayavunjiki kwa sababu ya kukosa mapenzi, bali kwa sababu ya jinsi watu wanavyozungumza wanapokuwa na maumivu, hasira au kutokuelewana.
Maneno tunayochagua, sauti tunayotumia, na namna tunavyojieleza wakati wa mgogoro vinaweza kujenga daraja la uelewano au kubomoa kabisa uhusiano.
Ndani ya mahusiano, kun…
❤10🤝4
16 Jan 2026, 10:31 UTC≈2,520 views5 reactionsread 25 August 2026 Photo
0749 972 733
❤5
25 Oct 2025, 22:32 UTC≈4,100 views34 reactionsread 25 August 2026 Ulimtaka Alipokuwa Binti Mdogo, Akakukataa.
Hivi Sasa Amekuwa Mtu Mzima, Soko Limemkataa Ndo Amerudi Kwako...
Kumpokea Ni Udhaifu.
Ulipokuwa Hauna Kitu Hakuwahi Kuonesha Kuvutiwa Nawewe,
Hivi Sasa Una Vyako Ndo Anakuonesha "You Mean Everyrhing To Her"
Kumpokea Ni Udhaifu Mkubwa.
Uliwahi Kumtaka Kipindi Hana Mtoto Hata Mmoja, Akakupuuza.
Amekwenda Dunia Imemuharibu, Kazalishwa Na Kutelekezwa Ndipo Anakuja Kwako…
❤25🔥5👍4
22 Oct 2025, 19:23 UTC≈3,410 viewsread 25 August 2026 Jaza Fomu Hii, Kama UNAHITAJI KUPATA MWENZA
>>>https://forms.gle/UZw8pyEnJMzSJ9FE9
21 Oct 2025, 17:26 UTC≈3,270 viewsread 25 August 2026 Kama Unahitaji Kujifunza Kupitia VIDEO ZANGU, Subscribe Katika Channel Yangu Ya Youtube
>>>https://www.youtube.com/@isaacknsumba
17 Oct 2025, 07:08 UTC≈3,070 views6 reactionsread 25 August 2026 Maumivu Hayataondoka Kama Unafanya Haya 4...
1. Kuyakataa au Kuyakimbia
Maumivu yanahitaji kukubaliwa kabla ya kuponywa.
Unapokataa Au Unapojaribu Kuyakimbia Yatakutesa Sana!
Fungua Moyo Wako, Kubali Kuwa Kuna Maumivu Unayapitia.
Kukubali Ni Hatua Muhimu Sana Katika Kukabiliana Nayo.
2. Kuendelea Kumfuatilia
Kushikilia yaliyopita hukuzuia kuendelea mbele.
Hautakiwi Kuendelea Kumfuatilia Uliyeachana Nae.
Kuba…
❤6
16 Oct 2025, 08:14 UTC≈1,820 views1 reactionsread 25 August 2026 Kama Unahitaji Kujifunza Kupitia VIDEO ZANGU, Subscribe Katika Channel Yangu Ya Youtube
>>>https://www.youtube.com/@isaacknsumba
👍1
13 Oct 2025, 06:13 UTC≈2,000 views12 reactionsread 25 August 2026 Usikubali Kumpoteza Mwanamke Mwenye Sifa Hizi 4...
1. Ambae Anakuongelesha Vizuri HATA AKIWA NA HASIRA.
Wanawake Wengi Ni VIUMBE WA HISIA,
Wengi Hawawezi Kucontrol Hisia Zao.
Ndio Maana Wakikasirika Wanaropoka.
Ukimpata Ambae, Hata Kama Umemkasirisha Bado Anaweza KUKUONGELESHA KWA HESHIMA,
Mtunze Huyo.
2. Ambae Anajali Na Kuzingatia FURAHA YAKO.
Wanawake Wengi Ni WABINAFSI SANA,
Wengi Wapo Upande Wa KUFANYIW…
❤11👏1
9 Oct 2025, 11:06 UTC≈1,750 viewsread 25 August 2026 Sikiliza Hapa Speech Niliyotoa Baada Ya Kukabidhiwa Tuzo Ya Mtaalam Wa Mahusiano
>>>https://youtu.be/8w0MFYjyRt0?si=OrGNwbKv770DecOZ
3 Oct 2025, 06:07 UTC≈1,890 views4 reactionsread 25 August 2026 Mambo 4 Ya Kufanya, UKIGUNDUA UNAEMPENDA HAKUPENDI....
1. Kubali Ukweli Mchungu (Accept The Bitter Truth)
Hatua Ya Kwanza Ya Kupata Amani Ni Kukubali Hali Halisi.
Kumbuka, Kutojali Au Kujaribu Kubadilisha Hisia Za Mwengine Hakutasaidia.
Kukubali Kweli Kunakusaidia Kuacha Kuumiza Moyo Wako Na Kuanza Kuponya.
Lakini Pia Kutakusaidia Kusitisha Uwekezaji Wako Kwake (Wa Muda, Fedha Na Hisia)
2. Tengeneza Umbali (Cre…
❤4
1 Oct 2025, 06:07 UTC≈1,570 views7 reactionsread 25 August 2026 Jinsi Ya Kufufua, Kuchochea Au Kuhuisha Penzi Lililopooza...
Biblia Inasema "Msiyachochee Mapenzi, Wala KUYAAMSHA..." (Wimbo Ulio Bora 2:7)
Biblia Isingesema "Msiyachochee" Kama Upendo Hauwezi Kuzima, Wala Iaingesema "Kuyaamsha" Kama Upendo Hauna Tabia Ya Kufifia, Kupooza N.k
Kwahiyo Kumbe, Upendo Unaweza Kupooza, Kufifia, Kutoweka, Kufa... Na Unaweza Kuhuishwa, Kuchochewa na Ukaamka Tena.
Hizi Ni Hatua Za Mchak…
❤5🔥1🤣1
29 Sept 2025, 06:10 UTC≈1,380 views3 reactionsread 25 August 2026 Mambo 7 Yanayojulisha Bado Unampenda Ex Wako na UNATAMANI KURUDIANA NAE...
1. Kumfuatilia Kisirisiri
Unajikuta Unaangalia Status Zake, Profile, Au Kuuliza Kwa Marafiki Zake Bila Yeye Kujua.
Unataka Kujua Kuhusu Yeye Na Maisha Yake Kiujumla.
2. Shauku Ya Kuwasiliana Naye
Kila Mara Unashawishika Kumpigia Simu Au Kutuma Meseji, Hata Kama Unajizuia.
Na Unaweza Jifanya Kama Umekosea, Au Kutuma Meseji Za Kichokozi, K…
❤3
Showing the 12 most recent of 20 posts we hold for @isaacknsumbaa. View and reaction counts are the latest single reading for each post, not a live figure, and a recent post is still accumulating both. A view count marked ≈ was rounded by Telegram before we ever saw it — t.me prints views in full below 1,000 and to three significant figures above, so ≈1,200,000 means somewhere between 1,150,000 and 1,249,999. Unmarked counts are exact. Text is reproduced from the public post preview and truncated for length.