7 Jun 2026, 15:39 UTC480 views2 reactionsread 8 September 2026 Photo
Watu wengi wanapozungumzia asili ya vitu, huchanganya asili ya ulimwengu wetu na asili yetu sisi wanaoishi ndani yake. Katika nadharia yangu, haya ni mambo mawili tofauti.
Asili ya ulimwengu wetu ni ulimwengu mbili zilizotangulia: ulimwengu wa HASI na ulimwengu wa CHANYA. Nishati kutoka katika pande hizo mbili ziligusana, na kutokana na mgusano huo ukazaliwa ulimwengu huu wa tatu tunaouishi leo.
Hivyo, chanzo cha u…
❤2
10 May 2026, 16:15 UTC595 views1 reactionsread 8 September 2026 Photo
PESA HAINA MMILIKI, na kila mtu anajitaidi kutaka kuimiliki hiyo pesa hiyo hiyo.
Watu wengi hawajui...
Wew siye unaetakiwa kufanikiwa, kwasababu wewe hapo ulipo tayari ushafanikiwa.
Unataka ufanikiwe vipi tena?
Ebu jikumbushe kidogo. Soma Zaidi ...
▫️Pambania malengo, biashara, kazi, au chochote unachofanya kifanikiwe — sio unajipambania wewe ndiye ufanikiwe.
▫️Ulimwengu utaahindwa kuku kuelewa.
Uwezi kuwa na mafan…
❤1
10 May 2026, 15:03 UTC500 views0 reactionsread 8 September 2026 Photo
MAFANIKIO SI BURE. MAFANIKIO YANA GHARAMA.
Kuna nguvu hasi inayotamani usifanikiwe, na kuna nguvu chanya kubwa ndani yako inayotamani ufanikiwe.
Soma Zaidi ....
21 Mar 2026, 14:56 UTC942 views2 reactionsread 8 September 2026 Photo
Sisi binadamu tunabeba kila kitu ndani yetu — maumivu na furaha.
Mwili wetu ni kama mzani, lakini akili ndiyo inayochagua mzani uegemee upande gani:
upande wa maumivu, upande wa furaha, au ubaki katika usawa.
Mara nyingi mazingira hutujaribu, lakini maamuzi tunayofanya ndani ya akili zetu ndiyo yanaamua uzito wa maisha yetu.
Swali kwa jamii:
Unapokutana na changamoto kubwa, ni nini kinakusaidia kuweka “mzani wa aki…
❤2
12 Feb 2026, 22:05 UTC≈1,160 views2 reactionsread 8 September 2026 Photo
🥰 KICHAA CHA USHINDANI: KWANINI HAUJAANDALIWA KUMSHINDA MTU?
Katika ulimwengu huu wa tatu, ushindani umegeuka kuwa sumu inayozima nuru za watu. Lakini ukichunguza kwa undani, utagundua kuwa Ushindani ni dalili ya kutokujitambua.
soma zaidi kwenye maoni 👇🏻👇🏻
❤2
11 Feb 2026, 21:09 UTC≈1,140 views2 reactionsread 8 September 2026 Photo
JUA LINALOWAKA : KWANINI BINADAMU NI WINDO KUU?
Binadamu ni kiumbe mkubwa na mwenye thamani kuliko kiumbe chochote katika ulimwengu huu. Thamani yetu inatokana na Nuru ya Ndani—ambayo ni kama Jua.
Soma Zaidi...
❤1🙏1
8 Feb 2026, 19:31 UTC≈1,180 views2 reactionsread 8 September 2026 Photo
WEWE NDIYE MPANGAJI: SIRI YA MUNGU NDANI YAKO
Kuna sentensi imezoeleka sana mitaani na kwenye nyumba za ibada: *"Mungu akishapanga jambo lake, hakuna mwenye uwezo wa kulipangua."*
Sentensi hii ni kweli, lakini ina siri nzito ambayo wengi hawaioni. Usipoielewa, utatumia maisha yako yote ukilia na kuomba "upangiwe" fungu lako, huku ukiwa umeshikilia kalamu ya uumbaji mkononi mwako mwenyewe.
❤2
28 Jan 2026, 17:44 UTC≈1,070 viewsread 8 September 2026 Photo
USAWA WA KUAMKA: KWANINI USILAMZISHE ASILIMIA 100?
▫️ Nafsi iliyoamka kabisa ni ile ambayo iko huru; haifungwi na chochote, hata mwili wa kimaumbile.
Lakini sikiliza: Usitumie nguvu kubwa kupita kiasi kuamka kiroho. Sisi binadamu, tukiwa ndani ya miili hii, tuna uwezo wa kuamka kwa asilimia kadhaa tu. Ukilazimisha nuru yako ifike asilimia 100 ukiwa bado ndani ya mwili, "utaamka" kweli—lakini hautabaki kuwa hai katik…
26 Jan 2026, 20:18 UTC681 viewsread 8 September 2026 FUNGUA PICHA 👆
ili UWONE MAANDISHI
From 🌁@Kaistorie
26 Jan 2026, 20:14 UTC725 views3 reactionsread 8 September 2026 Photo
Binadamu ndiyo viumbe pekee ambao WANACHEKESHA 😂 ulimwenguni
Simaanishi maumbile yetu, bali jinsi tunavyoishi tukiwa "tume lala." Tunajiogopa sisi wenyewe; tunahisi kuna viumbe vyenye nguvu zaidi yetu. Ni rahisi sana kwetu kuifuata akili ndogo na kuiomba majibu ya maswali ambayo tayari yapo ndani yetu 😇.
SISI NI WA KIPEKEE Miili yetu ina pande mbili (Hasi na Chanya), lakini nafsi zetu hazina upande wowote—zinaathi…
❤3
26 Jan 2026, 11:06 UTC590 viewsread 8 September 2026 Photo
NAFSI ZIPO HATARINI #hatari
(Hasi inajitambulisha kwa ukubwa) Beba hili akilini ili uwe salama: Kila kitu kilichoumbwa kwenye huu ulimwengu lazima kiathiriwe na pande mbili—HASI na CHANYA. Sisi binadamu, undani wetu (nafsi) hauna upande, ila unaathiriwa na upande wowote uliopo.
26 Jan 2026, 08:56 UTC842 views2 reactionsread 8 September 2026 Photo
NURU NA GIZA #nurugizani
Sisi binadamu si matokeo ya nuru pekee; ni mchanganyiko wa pande mbili: Hasu (-) na Chanya (+). Binadamu hupaswi kuelemea upande mmoja pekee kati ya hizo mbili.
Ukisema uishi kwa Nuru pekee au Giza pekee, huwezi kuwa sawa. Kanuni ya mwili wako inahitaji mtiririko wa pande mbili—Usiku na Mchana—ili uendelee kustawi. Hata taa ili iwake inahitaji ncha mbili (Hasi na Chanya); upande mmoja hauwez…
❤2
Showing the 12 most recent of 17 posts we hold for @kaistorie. View and reaction counts are the latest single reading for each post, not a live figure, and a recent post is still accumulating both. A view count marked ≈ was rounded by Telegram before we ever saw it — t.me prints views in full below 1,000 and to three significant figures above, so ≈1,200,000 means somewhere between 1,150,000 and 1,249,999. Unmarked counts are exact. Text is reproduced from the public post preview and truncated for length.